Wimbo wa Injili | Hukumu ya Mungu Yenye Haki Inakaribia Ulimwengu Mzima (Music Video)

12/08/2020

Hukumu ya haki itakapofika ulimwenguni,

watu wote watakuwa na woga na hofu,

kwa maana ulimwengu wa mwanadamu haufahamu haki.

Wakati ambapo Jua la haki litaonekana,

Mashariki itaangazwa,

kisha litaangaza ulimwenguni kote, likimfikia kila mtu.

Iwapo mwanadamu anaweza kutenda haki ya Mungu,

ni kitu gani kitakuwa cha kuogopesha.

Wakati umewadia! Kazi ya Mungu ataanza kuitekeleza,

Atatawala miongoni mwa wanadamu!

Mungu karibu Anarejea, na Yuko karibu kuondoka!

Hili ndilo kila mmoja anatarajia, ndilo kila mmoja anatumainia.

Mungu atamruhusu kila mmoja ashuhudie kufika kwa siku Yake

na aikaribishe siku Yake kwa furaha tele!

Watu wote wa Mungu wanangoja kwa hamu kuja kwa siku Yake.

Wanangoja Mungu alete adhabu,

wanangoja Mimi nilipize wanadamu wote

na kuamua hatima ya wanadamu katika wajibu Wangu kama Jua la haki.

Ufalme wa Mungu unaenea katika ulimwengu mzima,

kiti Chake cha enzi kimenyakua mioyo ya mamia ya milioni nyingi za watu.

Kwa usaidizi wa malaika wa mbinguni,

kazi kuu ya Mungu itakamilika hivi karibuni.

Wakati umewadia! Kazi ya Mungu ataanza kuitekeleza,

Atatawala miongoni mwa wanadamu!

Mungu karibu Anarejea, na Yuko karibu kuondoka!

Hili ndilo kila mmoja anatarajia, ndilo kila mmoja anatumainia.

Mungu atamruhusu kila mmoja ashuhudie kufika kwa siku Yake

na aikaribishe siku Yake kwa furaha tele!

Wana wote wa Mungu na watu wa Mungu wanangoja,

wakitamani sana kuunganika Kwake nao.

Kwa hamu kuu wanangoja kurudi Kwake, wasije wakatengana tena.

Itawezekanaje watu wote wa ufalme wa Mungu

wasikimbie wakifurahiana kila mmoja kwa kuwa Yeye yuko pamoja nao?

Inawezekana huu uwe muungano usio na gharama?

Wakati umewadia! Kazi ya Mungu ataanza kuitekeleza,

Atatawala miongoni mwa wanadamu!

Mungu karibu Anarejea, na Yuko karibu kuondoka!

Hili ndilo kila mmoja anatarajia, ndilo kila mmoja anatumainia.

Mungu atamruhusu kila mmoja ashuhudie kufika kwa siku Yake

na aikaribishe siku Yake kwa furaha tele!

Mungu ni mheshimiwa machoni pa kila mtu.

Anatangazwa katika maneno yao wote.

Mungu atakaporejea, Atashinda nguvu zote za adui hata zaidi.

Wakati umewadia! Kazi ya Mungu ataanza kuitekeleza,

Atatawala miongoni mwa wanadamu!

Mungu karibu Anarejea, na Yuko karibu kuondoka!

Hili ndilo kila mmoja anatarajia, ndilo kila mmoja anatumainia.

Mungu atamruhusu kila mmoja ashuhudie kufika kwa siku Yake

na aikaribishe siku Yake kwa furaha tele,

na aikaribishe siku Yake kwa furaha tele!

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp