Wimbo wa Injili | Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu

16/04/2020

Wakati wa kupata mwili kwa Mungu duniani,

Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu.

Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.

Atamshinda Shetani kumshinda mwanadamu,

pia kupitia kukufanya mkamilifu.

Unapokuwa na ushuhuda mkubwa sana,

hii pia itakuwa ishara ya kushindwa kwa Shetani.

Mungu anapata mwili kumshinda Shetani na kuwaokoa wanadamu wote.

Ili Shetani aweze kushindwa,

mwanadamu kwanza anashindwa, kisha anakamilishwa.

Lakini kiini, huku akimshinda Shetani,

Mungu anamwokoa mwanadamu toka mateso.

Haijalishi kama hii kazi inafanyika Uchina au kote ulimwenguni,

yote ni kwa ajili ya kumshinda Shetani na kumwokoa mwanadamu,

aweze kuingia katika mapumziko.

Yote ni kwa ajili ya kumshinda Shetani.

Mungu anapata mwili kumshinda Shetani kuokoa wanadamu wote.

Kupata mwili kwa Mungu katika mwili wa kawaida

ni hasa kwa ajili ya kumshinda Shetani.

Kazi ya Mungu huyu wa mwili ni kuwaokoa

wanaompenda Mungu chini ya mbingu.

Ni kwa sababu ya kuwashinda binadamu wote,

na pia ni kwa sababu ya kumshinda Shetani.

Kiini cha kazi yote ya Mungu ni

kumshinda Shetani kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu.

Mungu anapata mwili kumshinda Shetani na kuwaokoa wanadamu wote.

Mungu anapata mwili kumshinda Shetani na kuwaokoa wanadamu wote,

kuwaokoa wanadamu wote. Anawaokoa wanadamu wote,

kuwaokoa wanadamu wote. Anawaokoa wanadamu wote.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp