Wimbo wa Injili | Kristo wa Siku za Mwisho Ameleta Enzi ya Ufalme (Music Video)

04/06/2020

Yesu Alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu,

Alileta Enzi ya Neema na Akatamatisha Enzi ya Sheria.

Wakati wa siku za mwisho, Mungu kwa mara nyingine Alipata mwili,

na Alipopata mwili mara hii, Alikamilisha Enzi ya Neema

na Akaleta Enzi ya Ufalme.

Wale wote wanaokubali kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili

wataongozwa mpaka Enzi ya Ufalme,

na wataweza kukubali kibinafsi uongozi wa Mungu.

Hata ingawa Yesu Alifanya kazi nyingi miongoni mwa wanadamu,

Yeye Alimaliza tu ukombozi wa wanadamu wote

na akawa sadaka ya dhambi ya mwanadamu,

na Hakumwondolea mwanadamu tabia yake yote ya upotovu.

Kumwokoa mwanadamu kikamilifu kutokana na ushawishi wa Shetani

hakukumlazimu Yesu kuchukua dhambi zote za mwanadamu

kama sadaka ya dhambi tu,

lakini pia kulimlazimu Mungu kufanya kazi kubwa zaidi

ili kumwondolea mwanadamu tabia yake kikamilifu, ambayo imepotoshwa na Shetani.

Na kwa hivyo, baada ya mwanadamu kusamehewa dhambi zake,

Mungu Amerudi katika mwili kumwongoza mwanadamu katika enzi mpya,

na kuanza kazi ya kuadibu na hukumu,

na kazi hii imemleta mwanadamu katika ulimwengu wa juu zaidi.

Wote wanaonyenyekea chini ya utawala Wake watapata kufurahia ukweli wa juu

na kupata baraka nyingi mno.

Wataishi katika mwanga kwa kweli,

na watapata ukweli, njia na uzima,

na watapata ukweli, njia na uzima.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp