Uangalie ufalme wa Mungu, ambako Mungu anatawala juu ya yote.Kutoka wakati uumbaji ulipoanza mpaka siku ya sasa,wana wa Mungu waliongozwa wakipitia taabu.Katika milima na mabonde walienda. Lakini sasa katika nuru Yake wa…
ITumeletwa mbele ya Mungu. Maneno Yake tunakula na kunywa.Roho Mtakatifu anatupa nuru, tunaelewa ukweli anaonena Mungu.Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote. Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa huru.Na sisi tu…
Ha … nyimbo ni nyingi na ngoma ni za madaha;ulimwengu na miisho ya dunia zinakuwa bahari inayosisimka.Ha … mbingu ni mpya na dunia ni mpya.Eneo kubwa la ulimwengu limejaa kusifu; tunapiga ukelele na kuruka kwa shangwe.Mi…