Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.
Video za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa MbinguniVideo za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni Sinema za Injili "Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!Sinema za Injili "Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja! Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya BibliaSwahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia Gospel Film Swahili "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" | Follow God by the Way of the CrossGospel Film Swahili "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" | Follow God by the Way of the Cross Latest Gospel Film Swahili "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu?Latest Gospel Film Swahili "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu? New Gospel Movie Swahili "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufichua Siri ya Jina la MunguNew Gospel Movie Swahili "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufichua Siri ya Jina la Mungu Latest Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa: Mfuatano" | God is the Way, the Truth, and the LifeLatest Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa: Mfuatano" | God is the Way, the Truth, and the Life Latest Gospel Movie Swahili "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi YakeLatest Gospel Movie Swahili "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake New Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?New Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi? Latest Christian Movie Swahili "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika MunguLatest Christian Movie Swahili "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika Mungu New Gospel Movie Swahili "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za MwishoNew Gospel Movie Swahili "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za Mwisho Gospel Movie Video Swahili "Vunja Pingu na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji WanguGospel Movie Video Swahili "Vunja Pingu na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji Wangu Gospel Movie Video Swahili "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu WanguGospel Movie Video Swahili "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu Gospel Latest Movie Video Swahili "Wakati wa Mabadiliko"Gospel Latest Movie Video Swahili "Wakati wa Mabadiliko" Gospel Movie Video Swahili "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"Gospel Movie Video Swahili "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" Christian Movie Video Swahili "Maskani Yangu Yako Wapi" | Mungu ni Kimbilio la Nafsi YanguChristian Movie Video Swahili "Maskani Yangu Yako Wapi" | Mungu ni Kimbilio la Nafsi Yangu Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | "Biblia na Mungu" ( Video za Kikristo ) SwahiliKuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | "Biblia na Mungu" ( Video za Kikristo ) Swahili Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili )Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili )

Gospel Film Swahili "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" | Follow God by the Way of the Cross

Filamu za Injili   534  

Utambulisho

Zhong Xin ni mhubiri kutoka katika kanisa moja la nyumbani katika bara China. Amekuwa muumini katika Mungu kwa miaka mingi na kila mara amepitia kukamatwa na mateso ya CCP. Chuki yake ya CCP ni ya kina sana, na ameona wazi kwa muda mrefu sasa kwamba CCP ni utawala wa kishetani ambao unajiweka katika upinzani na Mungu. Kwa miaka ya hivi majuzi, ameona shutuma, kukamatwa na kuteswa kinyama kwa kanisa la Umeme wa Mashariki na serikali ya CCP na dunia ya kidini. Alichoona kuwa cha ajabu, hata hivyo, kilikuwa kwamba Umeme wa Mashariki halikukosa tu kushindwa, lakini kwa kinyume lilikuwa limenawiri zaidi na zaidi, na hivyo Zhong Xin alianza kutafakari tena: Je, hili Umeme wa Mashariki ni dhihirisho la kuonekana na kazi ya Bwana? Aligundua pia kwamba maneno yaliyotumiwa na CCP na dunia ya kidini kulishutumu Umeme wa Mashariki yote yalikuwa uvumi na uongo na kadhalika, hivyo ili kupata ukweli wa mambo, aliwaongoza ndugu zake kuchunguza Umeme wa Mashariki. Kupitia kusikiliza ushirika wa wale waliotoa ushuhuda katika Kanisa la Mwenyezi Mungu, wengi wao walithibitisha kwamba maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu ni ukweli, kwamba maneno haya ni sauti ya Mungu na kwamba Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi. Lakini lilikabiliwa na ukandamizaji na utesaji wa kikatili wa Kanisa la Mwenyezi Mungu na serikali ya CCP, na vilevile uasi na shutuma za wazi kutoka kwa wachungaji na wazee wa dunia ya kidni, watu wengine walishangazwa: Kazi ya Mwenyezi Mungu ni njia ya kweli, hivyo ni kwa nini inakumbana na uasi na shutuma za wazi za nguvu za kisiasa na dunia ya dini? Kwa kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu, na kwa kusikiliza ushirika wa wale wanaotoa ushuhuda katika Kanisa la Mwenyezi Mungu, ndugu wanaelewa sababu ya msingi ya uasi wa wanadamu kwa Mungu, wanaona wazi kwa nini njia ya kwenda mbinguni ni yenye hatari sana, na wanapata kuwa na utambuzi kuhusu kiini kipinga Mungu, cha kuchukia ukweli cha utawala ya kishetani ya CCP na viongozi wa dunia ya kidini. Watu kama Zhong Xin kwa uamuzi wametupa vifungo na minyororo ya ushawishi wa Shetani, wamekubali kazi ya siku za mwisho ya Mwenyezi Mungu, na kwa kweli wamerejea mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.