Filamu za Kikristo | Njia ya Utakaso na Uingiaji Katika Ufalme wa Mungu (Dondoo Teule)

24/12/2018

Je, kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho humtakasa na kumwokoa vipi mwanadamu? Je, kwa kweli tunapitiaje hukumu na kuadibiwa na Mungu ili tuweze kupata ukweli, uzima, na kustahili wokovu na kuingia katika ufalme wa mbinguni? Video hii itakuambia majibu, na kukuelekeza kwa njia ya kuingia ufalme wa mbinguni.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp