Ushuhuda wa Kweli | Kwa Kuacha Ubinafsi, Nimekombolewa

30/08/2020

Mhusika mkuu anapoanza kufanya kazi pamoja na Ndugu Zhang katika kazi yake ya kanisa, yeye kila wakati husita kumwambia Ndugu Zhang kila kitu anachojua katika juhudi za kulinda cheo chake, akihofia kwamba “Mjinga akierevuka, mwerevu huwa mashakani.” Kwa sababu yeye kila wakati huwa na tamaa za ubinafsi na anashindwa kutenda ukweli, hafanikishi chochote katika wajibu wake na anatumbukia katika hali ya giza. Baada ya kupitia hukumu na kuadibu kwa maneno ya Mwenyezi Mungu, anaona kwamba kuishi kulingana na sumu za Shetani na falsafa zake za kuishi kumemfanya awe mbinafsi, mdanganyifu, na asiwe na ubinadamu, na kwamba mambo haya yanamchukiza Mungu. Kisha anaacha masilahi yake mwenyewe na anashiriki ufahamu wake wote na Ndugu Zhang bila kusita. Anaanza kuhisi utulivu na amani na anapata furaha inayotokana na kutia ukweli katika vitendo.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp