Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.
Filamu za Injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last DaysFilamu za Injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last DaysBest Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My GodVideo za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God? Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the LordFilamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the Lord Filamu za Kikristo 2018 | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in JudgementFilamu za Kikristo 2018 | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in Judgement Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian MovieHave You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za InjiliThe Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven? Video za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa MbinguniVideo za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena" Sinema za Injili "Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!Sinema za Injili "Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja! Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya BibliaSwahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia Swahili Gospel Film "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari"Swahili Gospel Film "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" Best Swahili Christian Movie "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu?Best Swahili Christian Movie "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu? New Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la MunguNew Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la Mungu Swahili Christian Video "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa BwanaSwahili Christian Video "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa Bwana Christian movie “Siri ya Utauwa: Mfuatano” | Preaching the Gospel of the Second Coming of Lord JesusChristian movie “Siri ya Utauwa: Mfuatano” | Preaching the Gospel of the Second Coming of Lord Jesus Latest Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi YakeLatest Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake New Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?New Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi? Latest Swahili Christian Movie "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika MunguLatest Swahili Christian Movie "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika Mungu New Swahili Gospel Movie "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za MwishoNew Swahili Gospel Movie "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za Mwisho Swahili Gospel Movie "Vunja Pingu Na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji WanguSwahili Gospel Movie "Vunja Pingu Na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji Wangu Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu WanguSwahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu Latest Swahili Gospel Movie "Wakati wa Mabadiliko"Latest Swahili Gospel Movie "Wakati wa Mabadiliko" Swahili Gospel Movie "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"Swahili Gospel Movie "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" “Maskani Yangu Yako Wapi” | God gave me a happy family | Swahili Christian Family Movie“Maskani Yangu Yako Wapi” | God gave me a happy family | Swahili Christian Family Movie Video za Kikristo | Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | "Biblia na Mungu" (Swahili Subtitles)Video za Kikristo | Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | "Biblia na Mungu" (Swahili Subtitles) Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili )Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili )

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?

Mfululizo wa Filamu za Injili   2704  

Utambulisho

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?


Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mtu katika siku za mwisho, habari ambazo zinampendeza sana. Baada ya kusoma neno la Mwenyezi Mungu na kutazama filamu na video za Kanisa la Mwenyezi Mungu, moyo wa Zheng Mu'en unathibitisha kuwa maneno ya Mwenyezi Mungu ni ukweli, na kwamba Mwenyezi Mungu huenda akawa ndiye kurudi kwa Bwana Yesu, hivyo anaanza kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho pamoja na ndugu zake. Lakini Mchungaji Ma, kiongozi wa kanisa lake, anapoona hili, anajaribu mara kwa mara kuingilia kati na kumzuia Zheng Mu'en. Anamwonyesha Zheng Mu'en video ya propaganda ya serikali ya CCP ambayo hutukana na kulaani Umeme wa Mashariki katika jaribio la kumfanya Zheng Mu'en aache uchunguzi wake wa njia ya kweli, na video hii inamfanya achanganyikiwe sana: Bila shaka Anaweza kuona kwamba maneno ya Mwenyezi Mungu ni ukweli na sauti ya Mungu, kwa nini wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wanamlaani Mwenyezi Mungu? Wao wenyewe hawakatai kutafuta au kuchunguza pekee, ila pia wanajaribu kuwazuia wengine kukubali njia ya kweli. Kwa nini hili linatokea? ... Zheng Mu'en anaogopa kudanganywa na kuchukua njia isiyo sahihi, lakini pia anaogopa kupoteza nafasi yake ya kunyakuliwa. Katikati ya mapambano na kuchanganyikiwa kwake, Mchungaji Ma anatoa propaganda mbaya zaidi kutoka kwa CCP na ulimwengu wa dini, vikisababisha mashaka mengi zaidi katika moyo wa Zheng Mu'en. Anaamua kusikiliza Mchungaji Ma na kukata tama katika uchunguzi wake wa njia ya kweli. Baadaye, baada ya kusikia ushuhuda na ushirika kutoka kwa mashahidi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu, Zheng Mu'en anaelewa kuwa katika kuchunguza njia ya kweli, kanuni kuu ya msingi ni kuamua kama njia ina ukweli na kama inachoonyesha ni sauti ya Mungu. Mtu yeyote anayeweza kuonyesha ukweli mwingi hakika ni kuonekana kwa Kristo, kwa sababu hakuna mmoja wa wanadamu wanyonge anayeweza kuonyesha ukweli. Huu ni ukweli usiopingika. Mtu asipolenga kusikia sauti ya Mungu anapochunguza njia ya kweli, na badala yake asubiri kushuka kwa Bwana Yesu juu ya mawingu meupe kulingana na mawazo yake, hataweza kamwe kukaribisha kuonekana kwa Mungu. Zheng Mu'en hatimaye anaelewa siri ya wanawali wenye busara kusikia sauti ya Mungu iliyozungumzwa na Bwana Yesu, anaamua kutoamini tena uongo na nadharia za upuuzi wa serikali ya CCP na wachungaji na wazee wa ulimwengu wa kidini, na huepuka vikwazo na utumwa wa mchungaji wake wa dini. Zheng Mu'en anapitia kwa kina shida ya kuchunguza njia ya kweli. Bila utambuzi au kutafuta ukweli, hakuna njia ya kusikia sauti ya Mungu au kunyakuliwa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Badala yake, mtu anaweza kudanganywa na kudhibitiwa na Shetani na kufa katika wavu wa Shetani, ambayo hutimiza kabisa maneno yaliyomo katika Biblia, "Watu wangu wanateketezwa kwa ajili ya ukosefu wa maarifa" (Hosea 4:6). "Wapumbavu hukufa kwa ajili ya ukosefu wa hekima" (Mithali 10:21).Baadhi ya vifaa ni kutoka: www.stockfootage.com

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu