Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the Lord

10/09/2018

Miaka 2,000 iliyopita, Bwana Yesu alipofanya kazi ya ukombozi, Alipitia kashfa mbaya na shutuma kutoka kwa jamii ya kidini ya Kiyahudi. Viongozi wa Kiyahudi walijiunga na serikali ya Kirumi na kumsulubisha msalabani. Katika siku za mwisho, Mwenyezi MunguBwana Yesu aliyerudi katika mwili—Amefika nchini China kufanya kazi ya hukumu. Tena, Anakabiliwa na hukumu ya kichaa, kukandamiza, na kukamatwa wakati huu na serikali ya Kikomunisti ya China na ulimwengu wa kidini. Uvumi ulioenea na mawazo yasiyofaa ambayo huhukumu na kuliharibia jina Kanisa la Mwenyezi Mungu ni kama mtego usioonekana, unaofunga na kuwadhibiti waumini wasiohesaka. Tanzia ya historia inajirudia yenyewe ...

Shujaa wa filanu hii ni mmoja wa waumini hao wasiohesabika. Aliposikia injili ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho mara ya kwanza, alichanganyikiwa na uvumi wa serikali ya CCP na viongozi wa dini. Alifungwa, akiwa amepotea katika kuchanganyikiwa kwake ... Baada ya mijadala kadhaa iliyochacha, maneno ya Mwenyezi Mungu yalimwelekeza kutambua ukweli, na hatimaye aliweza kung'amua ukweli halisi wa uvumi huo. Alipita katika mtego na kuona kuonekana kwa Mungu wa kweli ...

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp