Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk) | Christian Testimony of Overcoming Satan

Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk) | Christian Testimony of Overcoming Satan

675 |10/09/2018

Mazungumzo chekeshi haya, Kuwa Katika Hali Ngumu, yanasimulia hadithi ya Geng Xin , afisa wa Kikomunisti wa China ambaye ameikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho. Inasimulia uzoefu wake wa kupoteza kazi yake, kukamatwa, na kuadhibiwa kwa ukatili na CCP kwa sababu ya imani yake, na mwishowe kwake kuwa shahidi kwa Mungu. Hili linaonyesha shida za Wakristo nchini China na linaonyesha mfano halisi wa imani na ushupavu wa Wakristo kumtegemea Mungu ili kumshinda Shetani, na kushuhudia.

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi