Swahili Worship Song 2020 | "Mwenyezi Mungu Amekuwa Akiketi katika Kiti Tukufu Cha Enzi"

Swahili Worship Song 2020 | "Mwenyezi Mungu Amekuwa Akiketi katika Kiti Tukufu Cha Enzi"

1261 |02/05/2020

Mfalme amepata ushindi, Akiketi katika kiti tukufu cha enzi,

Amewakomboa watu Wake

na anawaongoza ili waonekane katika utukufu Wake.

Kila kitu kiko imara mikononi Mwake;

kupitia busara Yake takatifu na mamlaka,

Amejenga na kuimarisha Zayuni, Amejenga na kuimarisha Zayuni.

Kwa uadhama Wake, Aliihukumu dunia hii ovu,

Alihukumu mataifa yote na watu,

ulimwengu, bahari, na viumbe vyote vyenye uhai,

na pia wale waliokunywa divai ya ufisadi.

Mungu kwa kweli atawahukumu, kwa kweli Mungu atawahuku.

Mungu atawaonyesha ghadhabu Yake,

na kuonyesha uadhama Wake.

Atawahukumu wao mara moja, Atawahukumu mara moja.

Moto mkali mno wa ghadhabu Yake kuu utachoma dhambi zao za mauti.

Janga litakuja wakati wowote.

Ni vigumu kwao kuepuka, na hawatapata kimbilio lolote.

Watakuwa wakilia na kusaga meno yao, wakiharibiwa kwa ajili ya dhambi zao.

Washindi, wana wapendwa wa Mungu watabaki Zayuni.

Wataishi huko wakati wote, wataishi huko wakati wote.

Watu wote wanasikia sauti ya Mungu,

wanatilia maanani matendo Yake.

Sauti za kumsifu hazitakoma, hazitakoma kamwe.

Mungu mmoja wa kweli Ameonekana!

Mwisho wa dunia nzima umefichuliwa mbele yetu.

Hukumu ya siku za mwisho imeanza.

Watu wote wanasikia sauti ya Mungu,

wanatilia maanani matendo Yake.

Sauti za kumsifu hazitakoma, hazitakoma kamwe.

Watu wote wanasikia sauti ya Mungu,

wanatilia maanani matendo Yake.

Sauti za kumsifu hazitakoma, hazitakoma kamwe.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi