Wimbo wa Kikristo | Lazima Binadamu Amwabudu Mungu ili Kuwa na Hatima Nzuri

24/03/2020

Mungu aliumba dunia hii. Aliumba binadamu.

Alikuwa mjenzi wa utamaduni wa zamani wa Ugiriki

na ustaarabu wa binadamu.

Mungu tu ndiye Anayefariji, Anayefariji binadamu huyu.

Mungu pekee ndiye Anayejali kuhusu binadamu huyu mchana na usiku.

Kukua kwa binadamu na kuendelea

hakutenganishwi na mamlaka ya Mungu,

hakutenganishwi na mamlaka ya Mungu.

Historia na siku za baadaye za binadamu zinahusiana sana na mpango wa Mungu.

Historia na siku za baadaye za binadamu zinahusiana sana na mpango wa Mungu.

Kuinuka na kuanguka kwa nchi yoyote ama taifa

hufanyika kulingana na mpango wa Mungu,

kulingana na mpango wa Mungu.

Mungu pekee anajua hatima ya nchi ama taifa.

Mungu pekee ndiye Anayejua njia ambayo binadamu huyu atafuata.

Mungu pekee ndiye Anayejua njia ambayo binadamu huyu atafuata.

Kama binadamu ama nchi inataka kuwa na jaala nzuri,

mwanadamu lazima amwinamie Mungu kwa ibada,

amwinamie Mungu kwa ibada.

Kama binadamu ama nchi inataka kuwa na jaala nzuri,

mwanadamu lazima amwinamie Mungu kwa ibada,

amwinamie Mungu kwa ibada.

Na mwanadamu lazima atubu na kukiri mbele ya Mungu,

La sivyo jaala na hatima ya mwanadamu bila kuepukika itaishia katika janga.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp