Filamu za Kikristo | Kwa Nini Chama cha Kikomunisti cha China Kwa Hasira Kinakandamiza na Kutesa Imani ya Kidini? (Dondoo Teule)

22/02/2018

Chama cha Kikomunisti cha China wakati huu wote kimewakandamiza kwa hasira, kuwashambulia na kupiga marufuku imani za kidini. Wanawachukulia Wakristo kama wahalifu wakuu wa taifa. Hawasiti kutumia njia za mapinduzi kukandamiza, kukamata, kutesa na hata kuwachinja. Sababu zao za kufanya mambo haya ni nini? Wale wanaoamini katika Mungu wanamheshimu Mungu kama mkuu. Wanamcha Mungu na wanalenga kutafuta ukweli na kutembea njia sahihi ya maisha. Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China kiwachukulie Wakristo kama maadui? Kwa nini hawalingani na watu wanaoamini katika Mungu? Video hii itachunguza sababu kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China kinatesa imani ya kidini.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp