Ushuhuda wa Kweli | Kuinuka Licha ya Kushindwa

09/07/2020

Kuinuka Licha ya Kushindwa ni ushuhuda wa Mkristo anayepitia hukumu ya Mungu na kuadibu Kwake. Mhusika mkuu alikuwa mwanasheria wakati mmoja, lakini baada ya kukubali kazi ya Mungu katika siku za mwisho, anaanza kujitumia kwa shauku kuu na anachaguliwa kuwa kiongozi wa kanisa. Kwa sababu ya sifa zake, anapata mafanikio katika wajibu wake, lakini anazidi kuwa na kiburi, majivuno, na kuwapuuza wengine. Anasisitiza kufanya atakavyo katika kazi ya kanisa, na anajadili mambo na wafanyakazi wenzake mara chache sana, hadi mwishowe anasababisha hasara katika kazi ya kanisa. Hata hivyo, katikati ya kupogolewa na kushughulikiwa vikali, na katikati ya hukumu na ufunuo wa neno la Mungu, anatambua sababu ya kutofaulu na kuanguka kwake, na anatubu mbele za Mungu kwa kweli. Katika mkutano wa kanisa, anafanya ushirika juu ya uzoefu huu usiosahaulika …

Tazama zaidi

Ikiwa una matatizo au maswali yoyote katika imani yako, tafadhali wasiliana nasi wakati wowote.

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp