Dondoo ya Filamu ya Kikristo ya 4 Kutoka “Mazungumzo”: Pambano la Mkristo Dhidi ya Dhana za Kidini za Mchungaji

10/11/2018

CCP kinamkaribisha mchungaji na Kanisa la Utatu kujaribu kumtia kasumba na kumbadilisha Mkristo mmoja. Huyu Mkristo na mchungaji wanafungua mjadala mzuri katika kukabiliana na dhana zilizotolewa na mchungaji wa Utatu. Je, Mkristo huyu atampingaje huyu mchungaji? Kwa nini jaribio hili la CCP katika kutia kasumba na ubadilishaji utaishia kushindwa?

Baadhi ya taarifa katika video hii zinatoka kwa:

FG LUT(https://filtergrade.com/free-cinematic-luts-video-editing/) By Filtergrade/CC BY 3.0(https://creativecommons.org/licenses/by/3.0/)

Tazama zaidi

Ikiwa una matatizo au maswali yoyote katika imani yako, tafadhali wasiliana nasi wakati wowote.

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp