Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Wimbo Mpya wa Injili 2020 | "Yasifu Maisha Mapya" (Official Video)

Mfululizo wa Video za Muziki wa Nyimbo   532  

Utambulisho

Wimbo Mpya wa Injili 2020 | "Yasifu Maisha Mapya" (Official Video)


Haleluya! Twakushukuru Mwenyezi Mungu!

Haleluya! Kukusifu Mwenyezi Mungu!


Kristo ameonekana katika siku za mwisho.

Maneno Yake yanatuhukumu, kututakasa na kutubadilisha.

Ni neno la Mungu ambalo limenibadilisha,

kwa hivyo nina maisha mapya ya kumsifu Mungu.

Ni ajabu kuuelewa ukweli.

Naacha upotovu wangu na kujisikia huru kabisa.

Dhana zangu zote zimeondoka, na uasi hauko ndani yangu tena.

Hakuna kuzurura tena, hakuna kuteseka tena.


Roho yangu imewekwa huru,

Mungu likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ni furaha ya Mungu kuufurahia upendo wa Mungu.

Nimeonja upendo mtamu sana.

Nitampenda Mungu daima.

Ndugu, dada, hebu tuje pamoja,

bega kwa bega, pamoja kama kitu kimoja.

Kwa moyo mmoja na nia moja, tunamtumikia na kuimba sifa Zake.

Nani asiyeweza kueleza upendo wake?

Ngoma na kupiga makofi!

Nitamwabudu Mungu wa vitendo milele!


Nyimbo zetu zimejaa upendo kwa Mungu,

kwa Mwenyezi Mungu tunafanywa upya.

Maisha yetu potovu ya zamani yameisha,

ni furaha kuishi mbele za Mungu!

Kutenda ukweli kwa karibu kunatuweka huru.

Kumletea Mungu utukufu.

Tunampenda Mungu na kuishi katika mwanga.

Watu wa Mungu hufurahia maisha mapya.

Tumeipita mipaka ya mizigo ya dunia, familia, na mwili.

Jinsi gani ilivyo ya kupendeza kupendana.

Jinsi gani ilivyo ya kupendeza kupendana.


Umetoholewa kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.


Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu