Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

New Swahili Worship Gospel Songs "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

Msururu wa MV za Ufalme   782  

Utambulisho

Ee Bwana, kanisa limekuwa la ukiwa.

Siwezi kuhisi kuwepo Kwako. Uko Wapi?


New Swahili Worship Gospel Songs "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana


I

Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.

Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.

Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?

Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?

Wewe ndiye Unayenipa upendo.

Wewe ndiye Unayenijali.

Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati.

Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu.

Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga.

"Usimfanye mpenzi wangu angoje sana.

Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana."

Usisahau kwenda na upendo wangu.


II

Bata bukini wa mwituni wawili wawili, wakipaa mbali zaidi.

Je, watarudi na ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu?

Ee tafadhali, tafadhali nisaidie mabawa yako.

Naweza kupaa kurudi nyumbani mji wangu wa nyumbani wenye joto.

Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.

Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!

Nitakupa jibu linalokufurahisha. Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.

Jinsi ninavyotamani ningekuwa mtu mzima haraka,

kuwa huru kutoka kwa maisha ya uzururaji, ya uchungu.

Ee mpenzi wangu, tafadhali nisubiri.

Nitapaa mbali na raha ya hii dunia.

Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.

Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!

Nitakupa jibu linalokufurahisha. Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.

Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.