Wimbo wa Sifa | Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote (Muziki wa Akapela)

2827 |09/01/2018

La … la la la … la la la….

La … la la la … la la la … la….

Jua la haki lapanda kutoka Mashariki.

Ee Mungu! Utukufu wako hujaza mbingu na dunia.

Mpenzi mrembo, upendo Wako huzingira moyo wangu.

Watu wanaofuatilia ukweli wote wanampenda Mungu.

Ingawa mimi huamka peke yangu asubuhi mapema, Ninahisi furaha ninapotafakaria neno la Mungu.

Maneno mororo ni kama mama mpenzi, maneno ya hukumu kama baba mkali. (Ala….)

Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu.

A ala … a ala … a ala … a ala ….

Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu.

A ala … a ala … a ala … a ala ….

Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu.

La la la … la la la….

La la la … la la la … la….

Mapenzi ya Mungu yamefichuliwa—kuwatimilisha wapenzi wa kweli wa Mungu.

Watu wachangamfu na maasumu wote hutoa sifa kwa Mungu,

na tucheze ngoma nzuri pamoja kandoando ya Mungu wa kweli.

Watu wanaitwa na sauti ya Mungu kutoka sehemu mbalimbali warudi.

Tumefadhiliwa kwa maneno ya Mungu. Tumetakaswa na hukumu ya maneno ya Mungu.

Upendo wetu umepata nguvu kwa kusafishwa. Twahisi utamu kufurahia mapenzi ya Mungu. (Ala….)

Ni nani asiyempenda Mungu wa kuvutia? Kwa moyo wangu wote nampenda tu Mungu wa vitendo.

A ala … a ala … a ala … a ala ….

Ni nani asiyempenda Mungu wa kuvutia? Kwa moyo wangu wote nampenda tu Mungu wangu.

A ala … a ala … a ala … a ala ….

Ni nani asiyempenda Mungu wa kuvutia? Kwa moyo wangu wote nampenda tu Mungu wangu.

Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu.

Asante! (Asante!) (Asante!) (Asante!)

Tunakupenda!

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi