Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

2020 Swahili Christian Testimony Video | Jinsi Mtu Anavyopaswa Kuchukulia Wajibu Wake

Maisha ya Kanisa   843  

Utambulisho

2020 Swahili Christian Testimony Video | Jinsi Mtu Anavyopaswa Kuchukulia Wajibu Wake


Yasemekana kuwa "Wenye ubongo hutawala wenye misuli," na watu wengi hutafuta kujitokeza na kuheshimiwa. Mhusika mkuu katika filamu hii hajaachwa nyuma. Mwanafunzi wa zamani wa chuo kikuu, baada ya kumwamini Mungu, daima anataka kufanya wajibu kanisani ambao unamruhusu ajitokeze na kuheshimiwa sana na wegine. Anapopewa wajibu wa kawaida autekeleze, anafadhaika na kuwa hasi, anahisi kana kwamba hadhi na heshima yake imevunjia, na anashindwa kutii. Je, anaishiaje kupata chanzo cha mateso yake kupitia maneno ya Mungu? Na, je, anatambuaje matatizo yalimo katika mitazamo yake juu ya ufuatiliaji, na kuja kukubali kila wajibu anaopewa kwa utulivu? Ikiwa mara nyingi wewe huzongwa na mateso ya aina hii vile vile, mtazame mhusika mkuu akisimulia uzoefu wake na uone jinsi alivyoyashinda.

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu