Filamu za Kikristo | Jinsi Watu Wanavyomtendea Kristo wa Siku za Mwisho Kunahusiana na Matokeo Yao (Dondoo Teule)

18/09/2018

Wakati watu wanaposhuhudia kwamba Umeme wa Mashariki ndiko kurudi kwa Bwana Yesu, waumini wengi wanahisi kwamba Umeme wa Mashariki ndiyo njia ya kweli, na wanafaa kulitafuta na kulichunguza kwa bidii ili kuisikia sauti ya Bwana. Wachungaji na wazee wa kanisa wa dini, hata hivyo, wanaifasiri vibaya Biblia ili kulipinga na kulishutumu Umeme wa Mashariki. Kupitia kwa muungano wa “kuilinda njia ya Bwana, kuwaweka kondoo salama, na kuwajibikia maisha ya waumini,” wanawazuia waumini kwa kila mbinu dhidi ya kuichunguza njia ya kweli. Je, Umeme wa Mashariki kwa kweli ndiko kurudi kwa Bwana, kujionyesha na kuifanya kazi? Tunafaa kuishughulikia vipi Umeme wa Mashariki, ili tulingane na mapenzi ya Bwana? Tazama video ili kujua.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp