Filamu za Kikristo | Unamfahamu Paulo kwa Kweli? (Dondoo Teule)

07/09/2018

Kwa miaka elfu mbili, Paulo amekuwa kielelezo cha kufuatwa kwa wale wote wanaomsadiki Bwana. Lakini tunamfahamu Paulo kwa kweli? Tunajua kwa kweli ukweli wa Paulo uliofichwa wa yeye kufanya kazi kwa uangalifu na bidii nyingi kwa ajili ya Bwana? Asili ya Paulo ni ipi, na kiini chake ni kipi? Video hii fupi itatusaidia kumfahamu Paulo halisi!

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp