Dondoo ya Filamu ya Injili ya 3 Kutoka “Mji Utaangushwa”: Ni Nini Kiini cha Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu?

12/04/2018

Kwa miaka elfu mbili, ingawa waumini wote wamejua ukweli kwamba Mafarisayo walimwasi Bwana Yesu, hakuna mtu katika ulimwengu mzima wa dini anayejua hasa mzizi wa chanzo na kiini cha uasi wa Mafarisayo kwa Mungu ni nini. Ni katika kuja kwa Mwenyezi Mungu tu katika siku za mwisho ndiyo ukweli wa swali hili unaweza kufichuliwa. Tazama video hii ili ujifunze zaidi.

Tazama zaidi

Ikiwa una matatizo au maswali yoyote katika imani yako, tafadhali wasiliana nasi wakati wowote.

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp