Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.
Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My GodVideo za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God? Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the LordFilamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the Lord Filamu za Kikristo 2018 | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in JudgementFilamu za Kikristo 2018 | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in Judgement Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian MovieHave You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za InjiliThe Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili Video za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa MbinguniVideo za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni Sinema za Injili "Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!Sinema za Injili "Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja! Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya BibliaSwahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia Swahili Gospel Film "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari"Swahili Gospel Film "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" Latest Swahili Gospel Film "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu?Latest Swahili Gospel Film "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu? New Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la MunguNew Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la Mungu Latest Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa: Mfuatano" | God is the Way, the Truth, and the LifeLatest Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa: Mfuatano" | God is the Way, the Truth, and the Life Latest Gospel Movie Swahili "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi YakeLatest Gospel Movie Swahili "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake New Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?New Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi? Latest Christian Movie Swahili "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika MunguLatest Christian Movie Swahili "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika Mungu New Gospel Movie Swahili "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za MwishoNew Gospel Movie Swahili "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za Mwisho Gospel Movie Video Swahili "Vunja Pingu na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji WanguGospel Movie Video Swahili "Vunja Pingu na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji Wangu Gospel Movie Video Swahili "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu WanguGospel Movie Video Swahili "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu Gospel Latest Movie Video Swahili "Wakati wa Mabadiliko"Gospel Latest Movie Video Swahili "Wakati wa Mabadiliko" Gospel Movie Video Swahili "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"Gospel Movie Video Swahili "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" Christian Movie Video Swahili "Maskani Yangu Yako Wapi" | Mungu ni Kimbilio la Nafsi YanguChristian Movie Video Swahili "Maskani Yangu Yako Wapi" | Mungu ni Kimbilio la Nafsi Yangu Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | "Biblia na Mungu" ( Video za Kikristo ) SwahiliKuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | "Biblia na Mungu" ( Video za Kikristo ) Swahili Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili )Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili )

New Gospel Movie Swahili "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za Mwisho

Filamu za Injili   735  

Utambulisho

Cheng Huize ni mfanyakazi mwenzi katika kanisa la nyumba huko China. Ameamini katika Bwana kwa miaka mingi, na amefanya kazi kwa ajili ya Bwana kwa shauku thabiti. Yeye hujitwisha majukumu mengi kwa ajili ya kanisa, na ana huruma kwa ndugu zake. Kanisa lake lilipokua na ukiwa zaidi na zaidi kila siku, uovu katika kanisa lake ulionekana mara kwa mara zaidi na zaidi. Mchungaji alipendekeza kwa juhudi kwamba kanisa lilipaswa kuanzisha kiwanda, na akawaongoza wafuasi kwenye njia ya utajiri, na pia kuwashawishi wao kujiunga na Kanisa la Nafsi Tatu ili kwamba wangeweza kutegemea msaada toka kwa serikali ya kikomunisti ya China. Hii ilisababisha mjadala mkali kujitokeza. Mchungaji alitenda kwa ukaidi kwa manufaa yake mwenyewe binafsi na hakusita kuligawa kanisa, akiwaongoza waumini kwenye njia isiyo sahihi. Cheng Huize na wengine wachache walishikilia imara njia ya Bwana, na wakapinga vikali kanisa kuwa kiwanda na pia kujiunga na Kanisa la Nafsi Tatu. Ingawa wazee wa kanisa katika kanisa walionyesha kupingana na hili, walifanya hivyo tu ili kulinda hadhi na riziki yao. Hata ingawa mchungaji na wazee wa kanisa wote walikuwa wakihodhi siri mioyoni mwao, wakiwa wamefungwa katika ugomvi wa mara kwa mara kwa ajili ya umaarufu na faida yao wenyewe, wakipigana kwa ajili ya wivu, walipoona kwamba wengi wa kondoo wazuri na viongozi wa kondoo katika kanisa walikuwa wamechunguza Umeme wa Mashariki na kumgeukia Mwenyezi Mungu mmoja mmoja, walijiunga pamoja na serikali ya kikomunisti ya China na wakapambana ili kukomesha Umeme wa Mashariki, wakiwazuia waumini kuja kuchunguza Umeme wa Mashariki, wakiwasihi wafuasi kuwaripoti kwa polisi. Walionyesha mfano kwa kuwaripoti na kuwakamata ndugu waliohubiri injili ya ufalme. Cheng Huize na wengine waliona kwamba mchungaji na wazee wa kanisa walikuwa wamepotoka toka kwa njia ya Bwana muda mrefu uliopita, na kanisa lilikuwa tayari limepoteza kazi ya Roho Mtakatifu na lilikuwa limepotoka na kuwa mahali pa dini kama Babeli Mkuu, uliolaaniwa na kutukanwa na Bwana. Kwa sababu hii, waliamua kuchunguza Umeme wa Mashariki ili kutafuta dhihirisho na kazi ya Mungu. Baada ya mijadala mikali na wahubiri kutoka kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu, Cheng Huize na wengine hatimaye walianza kuona wazi kwamba viongozi wa ulimwengu wa dini walimpinga Mungu katika kiini, na sababu ya ulimwengu wa dini kukataa, kila siku ukikaribia uharibifu wake: Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini, ingawa waliweza kueleza Biblia na kuchukulia Biblia kwa heshima kubwa, wao hufanya hivyo tu kwa ajili ya hadhi na riziki. Wanawakanganya na kuwatega watu. Wao hawamchukulii Mungu kwa heshima kubwa au kushuhudia Kwake, hawamwelewi Mungu kamwe. Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu mwenye mwili anapoonekana na kufanya kazi Yake, wanampinga bila aibu hata kidogo, wao hulaani kazi ya Mungu, hata kufikia mahali ambapo wanaungana na serikali ya kikomunisti ya Kichina kuwakamata waumini. Hii inatosha kuthibitisha kwamba wana asili ya kishetani inayochukia ukweli na kumchukia Mungu. Wao ni Mafarisayo wa kisasa, wanaojifanya watu waadilifu, wapinga Kristo wanaokana kwamba Mungu anakuwa mwili. Ulimwengu wa dini tayari umekuwa ngome ya wapinga Kristo kabisa ambao ni maadui wa Mungu. Bila shaka watakutana na laana na adhabu za Mungu. Cheng Huize na wengine hatimaye waliweza kutofautisha kiini cha asili cha mpinga Kristo cha viongozi wa ulimwengu wa dini, na kuwaongoza waumini kujitenga na mkanganyiko na udhibiti wa Mafarisayo, ili kuitoroka Babeli bila kusita, mji ambao utaangushwa ...