Wimbo wa Kanisa | Hukumu ya Mungu kwa Mataifa na Watu Wote

16/03/2020

Ufalme wa Mungu umefanikishwa kabisa na umekuja chini katika dunia kwa umma;

hata zaidi hii inamaanisha kuwa hukumu ya Mungu imetokea kabisa.

Maafa yote yatatokea moja baada ya nyingine;

mataifa yote na maeneo yote yatapitia maafa—

tauni, njaa, mafuriko, ukame

na matetemeko ya ardhi yatakuwa kila mahali.

Maafa haya hayatokei tu sehemu moja au mbili,

wala hayataisha kwa siku moja au mbili,

lakini badala yake yataeneza juu ya eneo kubwa zaidi na zaidi,

na maafa yatakuwa makali zaidi na zaidi.

Wakati huu kila namna ya wadudu tauni watatokea kwa mfululizo,

na tukio la watu kuwala watu litatokea kila mahali.

Hii ni hukumu ya Mungu juu ya mataifa yote na watu.

Jina la Mungu lazima litandazwe katika pande zote na kila mahali,

kwamba kila mtu alijue jina Lake takatifu na kumjua Yeye.

Jina la Mungu litaenea nje katika mwamko wa maafa,

na msipochunga mtapoteza sehemu inayopaswa kuwa yenu;

je, hamuogopi?

Jina la Mungu huenea kwa dini zote, na kila pembe za dunia,

mataifa yote na madhehebu yote.

Hii ni kazi ya Mungu inayofanywa kwa utaratibu,

katika viungo vinavyohusiana kwa karibu;

yote hutendeka kwa mipango ya Mungu ya busara.

Mungu angependa tu muwe na uwezo wa kuendelea mbele kwa kila hatua,

kwa karibu mkifuata nyayo Zake.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp