Wimbo wa Injili | Mungu Anafika Kati Yetu kwa Kimya

25/02/2020

Mungu anatazama juu ya nchi zote, na Anaamuru vitu vyote,

na Anaangalia maneno yote na matendo ya mwanadamu.

Usimamizi Wake unatekelezwa kwa hatua na kulingana na mpango Wake.

Unaendelea kwa upole, bila matokeo ya kutia shauku,

ilhali nyayo Zake zinasonga karibu na binadamu,

na kiti Chake cha hukumu kinawekwa ulimwenguni

kwa kasi ya umeme,

mara moja kufuatwa na kushuka kwa kiti Chake cha enzi kati yetu.

Ni mandhari ya uadhama ulioje, ufafanuzi mkuu na rasmi mno.

Kama njiwa, na kama simba angurumaye, Roho anafika kati yetu sote.

Yeye ni mwenye hekima, Yeye ni mwenye haki na uadhama,

Yeye ni mwenye hekima, Yeye ni mwenye haki na uadhama,

Anafika kimya kati yetu akiwa na mamlaka na amejawa na upendo na huruma.

Yeye ni mwenye hekima, Yeye ni mwenye haki na uadhama,

Yeye ni mwenye hekima, Yeye ni mwenye haki na uadhama,

Anafika kimya kati yetu akiwa na mamlaka na amejawa na upendo na huruma.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp