Ushuhuda wa Kweli | Ni Nani Anayesema Tabia Ya Kiburi Haiwezi Kubadilishwa

23/08/2020

Mhusika mkuu, kiongozi wa kanisa mwenye ubora mzuri wa tabia kwa ulinganisho ambaye ametimiza matokeo fulani katika kazi yake kwa kanisa, amegeuka kuwa mwenye kiburi na mwenye kujidai. Anafikiria kwamba yuko sahihi katika kila kitu anachosema, na kwamba ana maoni yenye utambuzi sana. Anakuwa na wakati mgumu kukubali maoni ya wafanyakazi wenzake, na vitendo vyake vya mtu mmoja vinaishia kuitia hatarini kazi ya kanisa. Kupitia kupogolewa na kushughulikiwa, na kuhukumiwa na kufichuliwa na maneno ya Mungu, anakuja kuitambua na kuichukia tabia yake ya kiburi. Akiwa anatimiza wajibu wake na ndugu zake kuanzia wakati huo kuendelea, anaweza kujitelekeza ili atafute ukweli, kukubali maoni ya wengine, na kutokuwa mwenye kiburi au mwenye kujidai tena kama zamani.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp