Christian Testimony Video | Nilipokuwa na Umri wa Miaka 18 (Swahili Subtitles)

07/08/2020

Yilian alipokuwa mwenye umri wa miaka 18, alikamatwa na polisi wa CCP kwa sababu ya imani yake. Walitumia mbinu za kila aina kumfedhehesha na kumtesa, kumjaribu na kumshawishi, wakijaribu kumlazimisha amsaliti Mungu na kuwasaliti ndugu zake. Alimwomba na kumwita Mungu mara kwa mara kuanzia mwanzo hadi mwisho wa shida hizi…. Je, Yilian alimshinda vipi Shetani na kuwa shahidi chini ya mwongozo wa maneno ya Mungu? Tazama Nilipokuwa Mwenye Umri wa Miaka Kumi na Minane ili kujua.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp