“Kuamka Kutoka kwa Ndoto” – Mungu Hutumia Ukweli Kuhukumu na Kutakasa Mwanadamu katika Siku za Mwisho | Video za Kikristo (Movie Clip 3/4)

“Kuamka Kutoka kwa Ndoto” – Mungu Hutumia Ukweli Kuhukumu na Kutakasa Mwanadamu katika Siku za Mwisho | Video za Kikristo (Movie Clip 3/4)

1423 |09/08/2018

Tazama Kamili

Katika Siku za Mwisho, Mungu anapata mwili ili kufanya kazi ya hukumu duniani kuanzia kwa nyumba ya Mungu, hivyo, kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho inamtakasaje na kumwokoa mwanadamu? Ni mabadiliko gani yataletwa kwa tabia yetu ya maisha baada ya kushuhudia hukumu na kuadibu kwa Mwenyezi Mungu? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakupa majibu yote!

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi