Swahili Christian Skit 2020 | "Nia 'Njema' za Mchungaji"

Swahili Christian Skit 2020 | "Nia 'Njema' za Mchungaji"

892 |29/04/2020

Yang Xiangming ni mfanyakazi katika dhehebu, na mara anapobaini kuwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi katika siku za mwisho, anawaelekeza baadhi ya ndugu zake kumgeukia Mwenyezi Mungu. Hii inamfanya mchungaji wake awe na wasiwasi, kwa hivyo mchungaji wake anatumia hadhi na pesa kumjaribu, na pia anatumia harusi ya mtoto wake kumtisha Yang Xiangming ili aache njia ya kweli.... Huku akikabiliwa na nia “njema” za mchungaji wake, Yang Xiangming hatimaye ataamua kufanya nini? Wakati huu muhimu tunapopaswa kukaribisha kuja kwa Bwana, kwa nini mchungaji huyu huwazuia waumini kuchunguza njia ya kweli? Mchezo wa Kuigiza wa Nia "Njema" za Mchungaji unakusaidia kuelewa ukweli wa jambo hilo.

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi