
Dondoo ya Filamu ya Hali Halisi Kutoka “Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu”: Kuibuka kwa Falme ya Uingereza Ikiendesha Maendeleo ya Wanadamu
983 |11/10/2018
Ni nini kilichosababisha kuibuka kwa Milki ya Uingereza? Na ni nini kilichosababisha kushuka kwayo? Tazama dondoo hii ya filamu ya Kikristo Kuibuka kwa Milki ya Uingereza Kuendesha Maendeleo ya Wanadamu ili kuelewa zaidi kuhusu sehemu muhimu Milki ya Uingereza ilitekeleza katika maendeleo ya wanadamu.
Credits: https://www.holyspiritspeaks.org/special-topic/copyright.html
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Aina Nyingine za Video