Maisha Mapya Katika Ufalme - "Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja" (Video Rasmi ya Muziki)

Maisha Mapya Katika Ufalme - "Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja" (Video Rasmi ya Muziki)

864 |20/05/2017

Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja

Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah …

Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu.

Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu.

Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu.

Pamoja, tuna furaha zaidi, huru kutoka kwa mwili. Ndugu zangu, pendaneni; sisi ni familia moja.

Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, Ah … ah …

Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu kote ulimwenguni.

Mwanzo tukiwa tumepotoshwa lakini tumeokolewa na Mungu. Tuna lugha moja na moyo mmoja, nia moja.

Tukishiriki hisia za tulipokuwa tumetengana; na uzoefu na maarifa tuliyonayo.

Sasa tumeshika mwendo adhimu wa maisha, mbele yetu, maisha anisi ya baadaye yaliyojaa tumaini na mng'aro.

Wakati anisi ujao, uliojaa mng'aro. Ah … ah …

Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; lakini hivi punde tutakuwa tumetengana.

Hali tumetwishwa mizigo ya kazi na mapenzi ya Mungu, tutatengana kwa ajili ya kazi ya Mungu.

Tunapokusanyika, sisi hucheka na kuongea kwa furaha; tunapoondoka, tunatumainishana.

Upendo wa Mungu, chanzo chetu cha kuwa watiifu hadi mwisho.

Kwa maisha mazuri ya baadaye, tutafanya lolote tutakaloweza.

Kwa maisha mazuri ya baadaye, tutafanya lolote tutakaloweza.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi