Wimbo wa Injili | Hakuna Anayejua Kuhusu Kufika kwa Mungu

20/02/2020

Hakuna anayejua kuhusu kurejea kwa Mungu,

hakuna anayekaribisha kurejea kwa Mungu.

Hata zaidi, hakuna anayejua yale yote ambayo Mungu atafanya.

Hata zaidi, hakuna anayejua yale yote ambayo Mungu atafanya.

Maisha ya mwanadamu hayabadiliki; moyo ule ule, siku za kawaida.

Mungu anaishi kati yetu kama mtu wa kawaida,

kama mshiriki wa wafuasi asiye na maana, kama muumini wa kawaida.

Ana harakati Zake mwenyewe, na malengo Yake binafsi.

Na Ana utakatifu ambao wanadamu hawana.

Hakuna yule ambaye ametambua uwepo wa utakatifu Wake,

ama tofauti kati ya kiini Chake na cha mwanadamu.

Tunaishi pamoja na Yeye, huru na bila hofu,

kwani tunamwona kama muumini asiye na maana.

Anatazama kila hatua yetu,

na kila fikira zetu zote na mawazo yanawekwa wazi mbele Yake,

Hakuna aliye na haja ya kujua uwepo wa Mungu,

hakuna aliye na fikira ya kazi Yake,

na hata zaidi, hakuna aliye na tuhuma yoyote kuhusu Yeye ni nani.

Tunaendelea na harakati zetu,

kana kwamba Mungu hana chochote kinachotuhusu sisi …

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp