Ushuhuda wa Kweli | Roho Yangu Yakombolewa

27/08/2020

Mhusika mkuu ni mcheza ngoma anayefanya kazi ya kupanga programu za dansi na ndugu wengine ili kumshuhudia Mungu. Baada ya muda mfupi, Dada Ye anajiunga na timu ya wacheza ngoma. Mhusika mkuu anapoona jinsi Dada Ye anavyotia fora katika koregrafia na anavyopendwa na kina ndugu, anajawa na wivu na anapoteza motisha ya wajibu wake. Badala yake, anapiga bongo siku zote kufikiria jinsi ya kumshinda dada yake. Kama matokeo, mbali na kushindwa kupata sifa na hadhi alizotarajia, pia anazuia kazi ya kanisa na anaachishwa wajibu wake. Anajawa na mateso, majuto na anajilaumu. Je, hatimaye anabadilishaje malengo yake yaliyopotoka katika ufuatiliaji wake na kupata uhuru wa kiroho kupitia hukumu na kuadibu kwa maneno ya Mungu? Tazama Roho Yangu Yakombolewa ili ujue.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp