Musical Documentary | Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri (Vipengele Muhimu)

11/10/2018

Ili kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alituma mapigo kumi Misri, akatumia mamlaka Yake kwa kutenganisha bahari, na kuwakomboa Waisraeli kutoka kwa maisha yao ya utumwa—yote ambayo yalidhihirisha uwezo Wake mkuu, na kueleza upendo Wake mkubwa na hangaiko Lake kwa wale wateule.

Credits: https://www.holyspiritspeaks.org/special-topic/copyright.html

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp