Ushuhuda wa Kweli | Nimejifunza Jinsi ya Kuwatendea Watu Vizuri

25/08/2020

Mhusika mkuu ni kiongozi wa kanisa anayeona kwamba Ndugu Chen ana ubora mzuri wa tabia, lakini kwamba ana tabia ya kiburi, hujionyesha mara nyingi, na kwamba yeye hujivuna na kuwadunisha wengine anapozungumza. Baada ya kumtajia hayo mara kadhaa bila kuona mabadiliko kwa Ndugu Chen, anachukizwa naye, anamhukumu mbele ya ndugu wengine, na hata anataka kumwachisha wajibu wake. Baada ya kupitia hukumu na kuadibu kwa maneno ya Mungu, anakuja kuelewa kidogo kuhusu tabia yake mwenyewe ya kishetani ya majivuno na mbovu, na anapata njia ya utendaji ya kuwatendea watu vizuri. Mwishowe, anagundua kuwa njia ya pekee ya kuwatendea watu kwa haki na kwa njia ambayo ina manufaa kwao ni kuwatendea kulingana na kanuni za ukweli.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp