Filamu za Kikristo | Je, Njia Inayoshutumiwa na CCP na Miongoni mwa Watu wa Dini Siyo Njia ya kweli? (Dondoo Teule)

30/04/2018

Watu wengi hutafuta na kuchunguza njia ya kweli pasipo kutegemeza vitendo hivi katika maneno na kazi ya Mungu. Badala yake, wao hufuata mitindo ya ulimwengu wa dini na wanaamini kwamba kile ambacho serikali ya kikomunisti ya China na ulimwengu wa dini inalaani sio njia ya kweli—je, hii ni njia sahihi ya kuelekea? Biblia inasema, "dunia nzima hukaa ndani ya maovu" (1 Yohana 5:19). "Hiki ni kizazi kiovu" (Luka 11:29). Hivyo inaweza kuonekana kwamba mifumo ya kisiasa ya kukana Mungu na ulimwengu wa dini hakika utakana na kuishutumu njia ya kweli. Wakati ambapo Bwana Yesu alifanya kazi Yake katika Enzi ya Neema, serikali ya Kiyahudi na ya Kirumi zilimpinga na kumtia hatiani kwa hasira, na mwishowe Bwana Yesu alisulubishwa msalabani. Je, si huu ni ukweli wa hali? Mwenyezi Mungu anapokuja kufanya kazi Yake katika siku za mwisho, Anapitia uasi mkali na shutuma ya serikali ya China na ulimwengu wa dini. Hili linaonyesha nini? Je, si hili linastahili sisi kulitafakari?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp