Dondoo ya Filamu ya Hali Halisi Kutoka “Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu”: Maangamizi ya Mungu ya Sodoma na Gomora
11/10/2018
Ikifurika na uovu na uzinzi, miji hii miwili mikubwa ya Sodoma na Gomora iliichokoza tabia ya Mungu. Mungu alinyesha moto wa jahanamu kutoka mbinguni, akiiteketeza hiyo miji na watu ndani yayo hadi kuwa majivu, na kuwafanya watoweke katikati ya hasira Yake…. Tazama dondoo ya filamu ya Kikristo Maangamizo ya Mungu ya Sodoma na Gomora ili kujua zaidi juu ya tabia ya ghadhabu, isiyokiukwa ya Mungu na onyo Lake kwa vizazi vijavyo.
Credits: https://www.holyspiritspeaks.org/special-topic/copyright.html
Ikiwa una matatizo au maswali yoyote katika imani yako, tafadhali wasiliana nasi wakati wowote.
Aina Nyingine za Video