Dondoo ya Filamu ya Kikristo ya 1 Kutoka “Mazungumzo”: Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?

10/11/2018

Katiba ya China hutamka kwa dhahiri uhuru wa dini, lakini kisirisiri, serikali hutumia rasilimali nyingi mno za binadamu na za kifedha kwa kuikandamiza imani ya dini na kuwatesa Wakristo kikatili. Hata hawajaacha kununua vifaa vya hali ya juu zaidi kuwafuatia, kuwafuma, na kuwakamata Wakristo. Serikali ya China imewanyang'anya raia wake haki ya uhuru wa imani na imewanyima kwa utundu haki ya kuishi. Kwa hiyo kwa kweli ni nini sababu na lengo la CCP kufanya yote haya?

Baadhi ya taarifa katika video hii zinatoka kwa:

FG LUT(https://filtergrade.com/free-cinematic-luts-video-editing/) By Filtergrade/CC BY 3.0(https://creativecommons.org/licenses/by/3.0/)

Tazama zaidi

Ikiwa una matatizo au maswali yoyote katika imani yako, tafadhali wasiliana nasi wakati wowote.

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp