Filamu za Kikristo | Kuhesabiwa Haki kwa Imani na Kusamehewa Dhambi Kunaweza Kuwapeleka Watu Katika Ufalme wa Mungu? (Dondoo Teule)

18/09/2018

Kwa msingi wa maneno ya Bwana Yesu akiwa msalabani “Imekwisha,” wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini kwa kawaida huhitimisha kwamba kazi ya Mungu ya wokovu wa wanadamu ilikuwa basi imekamilika. Bwana aliporudi, waumini wangepokelewa kwenye ufalme wa mbinguni, bila ya haja ya kazi yoyote ya utakaso na uokoaji wa watu. Je, mtazamo huu wa wachungaji na wazee wa kanisa unalingana na maneno ya Mungu? Bwana Yesu alikuwa akirejelea nini hatimaye, Aliposema “Imekwisha” akiwa msalabani? Kwa nini Mungu atake kuuonyesha ukweli wakati wa siku za mwisho, akiifanya kazi ya kuhukumu na kuwatakasa watu? Hasa Ni watu aina gani wanaweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp