Wimbo wa Kuabudu na Kusifu 2020 | Yote Yatimizwa Kupitia Neno la Mungu

Wimbo wa Kuabudu na Kusifu 2020 | Yote Yatimizwa Kupitia Neno la Mungu

1178 |28/06/2020

Yote yatatimizwa na maneno ya Mungu; hakuna mwanadamu atakayekula,

na hakuna mwanadamu anayeweza kufanya kazi ambayo Mungu atafanya.

Mungu ataisafisha hewa ya nchi zote

na Atatoa madoadoa yote ya mapepo duniani.

Tayari Mungu ameanza, na Ataanza hatua

ya kwanza ya kazi Yake ya kuadibu

katika makazi ya joka kuu jekundu.

Hivyo inaweza kuonekana kuwa kuadibu kwa Mungu kumeifikia dunia nzima,

na lile joka kuu jekundu na mapepo yote machafu

yatashindwa kuepuka kuadibu kwa Mungu,

kwa kuwa Anazitazama nchi zote.

Kazi ya Mungu duniani itakapokamilika,

hapo ndipo, kipindi cha hukumu kitakapokamilika,

Atalirudi kirasmi lile joka kuu jekundu.

Watu wa Mungu hakika wataona

kuadibu Kwake kwa haki kwa lile joka kuu jekundu,

watamwaga sifa mbele kwa sababu ya haki Yake,

na milele watalisifu jina Lake takatifu,

watalisifu jina Lake takatifu kwa sababu ya haki Yake.

Hivyo basi, mtatenda wajibu wenu kirasmi,

na mtanisifu kirasmi kotekote katika nchi,

milele na milele,

milele na milele!

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi