Swahili Worship and Praise Song 2020 | "Upendo na Kiini cha Mungu ni Vikarimu" (French dubbing)

Swahili Worship and Praise Song 2020 | "Upendo na Kiini cha Mungu ni Vikarimu" (French dubbing)

1093 |12/04/2020

Mungu anatoa kilicho bora zaidi,

Anatoa upande Wake ulio mzuri.

I

Vitu vizuri,

vitu vizuri zaidi, Anatoa.

Bila kufichua ama kuonyesha kuteseka Kwake.

Mungu, Anavumilia, Akingoja kwa kimya.

Sio baridi ama Aliyeganda,

sio dalili ya unyonge.

Kiini cha Mungu na upendo Wake ni mkarimu kila wakati.

Mungu anatoa kilicho bora zaidi,

Anatoa upande Wake ulio mzuri.

Vitu vizuri

vitu vizuri zaidi, Anatoa.

Kwa binadamu wote, Ateseka.

Anateseka, Akivumilia kwa kimya.

Anatoa kwa kimya, Anatoa Vyake vilivyo bora zaidi.

II

Bila kufichua ama kuonyesha kuteseka Kwake.

Mungu, Anavumilia, Akingoja kwa kimya.

Hili ni onyesho la kiini Chake na tabia,

la kili Alicho kweli: Muumba wa vitu vyote.

Mungu anatoa kilicho bora zaidi,

Anatoa upande Wake ulio mzuri.

Vitu vizuri,

vitu vizuri zaidi, Anatoa.

Kwa binadamu wote, Ateseka,

Anateseka, Akivumilia kwa kimya.

Anatoa kwa kimya, Anatoa Vyake vilivyo bora zaidi.

Mungu anatoa kilicho bora zaidi,

Mungu anatoa kilicho bora zaidi,

Mungu anatoa kilicho bora zaidi,

Anatoa upande Wake ulio mzuri.

Vitu vizuri,

vitu vizuri zaidi, Anatoa.

Kwa ajili ya binadamu wote, Anateseka;

Anateseka, Akivumilia kwa kimya, Anatoa kwa kimya.

Akivumilia kwa kimya, Anatoa kwa kimya;

Anatoa kwa kimya.

Mungu anatoa kilicho bora zaidi,

Mungu anatoa kilicho bora zaidi.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi