Filamu ya Kikristo | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | “Mhalifu ni Nani?” (Trela)

19/09/2017

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Filamu hii ya habari inaelezea uzoefu halisi wa Mkristo Mchina, Zhou Haijiang, ambaye alikamatwa na serikali ya CCP, akateswa, na kufa kutokana na kuteswa kwake kwa sababu ya imani yake kwa Mungu na utendaji wake wa kazi. Baada ya kifo cha Zhou Haijiang, familia yake pia ilifuatiwa, kutishwa, na kuogofywa na CCP. Hawakushindwa tu kupata haki kwa marehemu, lakini walikutupwa katika vurugu na mateso ya CCP.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp