Swahili Christian Testimony Video | Tuzo za Kutimiza Wajibu wa Mtu
12/07/2020
Yang Mingzhen alikuwa mmiliki wa biashara mwenye kiwanda chake mwenyewe, na familia na marafiki zake walimwona kama mwanamke mwenye uwezo sana. Ni mwenye shauku katika ufuatiliaji wake na yeye hufanya wajibu wake kanisani kwa bidii baada ya kupata imani yake, akijiamini kuwa na uhalisi wa kumtii Mungu. Hata hivyo, kanisa linapompa wajibu wa kuwa mwenyeji wa kina ndugu nyumbani kwake, anakubali shingo upande kwa nje, lakini moyoni mwake ana msukosuko na anahisi upinzani. Anahisi kwamba kufanya wajibu wa mwenyeji ni jambo duni sana na kwamba wengine watamdharau. Akikabiliwa na kufanya wajibu unaopingana na matamanio yake, je, ataweza kutii kwa kweli? Na atapata tuzo gani mwishowe?
Ikiwa una matatizo au maswali yoyote katika imani yako, tafadhali wasiliana nasi wakati wowote.
Aina Nyingine za Video