Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | "Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri" (Video Rasmi ya Muziki)

Mfululizo wa Video za Muziki   924  

Utambulisho

Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri


Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri.

Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia?

Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza.

Wewe Ndiwe unayeniwaza daima, Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu.

Mwezi, nyuma ya upande wa pili wa anga. Usimfanye mpendwa wangu asubiri muda mrefu sana.

Tafadhali mwambie Yeye ninamkosa sana.

Usisahau kuubeba pamoja nawe upendo wangu, pamoja nawe upendo wangu.


Bata bukini pori katika jozi, wapuruka mbali sana.

Je, watarudi na neno kutoka kwa mpendwa wangu?

O tafadhali, tafadhali niazime mbawa yako. Naweza kupuruka kurudi kwa mji wangu vuguvugu.

Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni!

Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo.

Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure.

Jinsi ninavyopenda ninaweza kuwa mzima karibuni,

kuwa huru kutoka maisha machungu, ya kutangatanga.

O mpendwa wangu, tafadhali nisubiri. Nitaruka mbali na anasa za dunia hii.

Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni!

Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo.

Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure.

Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure.


kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu