Wimbo wa Kusifu | Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumba

27/04/2020

Kwa mamlaka ya Muumba, miujiza yaonekana,

ikiwa na mvuto kwa mwanadamu, Mwanadamu hutazama kwa butwaa.

Nguvu Zake huleta furaha; mwanadamu hustabishwa, kwa furaha tele.

Kwa kupendezwa na kushangaa, Yeye hushangilia.

Mwanadamu huguswa waziwazi; na kunyenyekea kwa hofu.

Heshima utolewa naye unganishwa na Mungu.

Matendo ya Muumba huathiri moyo wa mwanadamu,

husafisha nafsi yake, nakukidhi roho ya mwanadamu.

Matamshi Yake yote, kila wazo Analowaza,

kila ufunuo wa mamlaka Yake, kazi bora kwa vitu vyote.

Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.

Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.

Viumbe majini au wa angani,

kwa amri ya Muumba viwepo kwa kila aina ya uhai.

Kwa amri ya Muumba, viumbe hawa huishi kwa aina.

Hii amri, hii kanuni, hakuna kiumbe chaweza kubadili.

Kwa kukosa ujasiri na uwezo wa kuvuka mipaka iliyowekwa na Mungu,

waliishi na kuongezeka kwa idadi kwa mpango wa Muumba.

Kwa madhubuti wanashikilia sheria za Mungu;

kwa uangalifu, wanashika amri za Mungu zisizonenwa hadi leo.

Matamshi Yake yote, kila wazo Analowaza,

kila ufunuo wa mamlaka Yake, kazi bora kwa vitu vyote.

Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.

Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.

Inayostahili kuelewa kwa mwanadamu, hii ni kazi kuu mno.

Inayostahili ujuzi wa mwanadamu, hii ni kazi kuu mno.

Mamlaka Yake ya kipekee yanaonyesha nguvu Yake

kuumba na kuamuru vyote vije katika uwepo,

kuwa na mamlaka juu ya uumbaji wote, kuweka uhai juu ya vitu vyote.

Yaonyeshwa katika uwezo Wake kufanya kuwepo mara ya kwanza na milele,

vitu vyote vionekane duniani, viwepo na maumbo kamili, uhai na majukumu.

Kwa kutozuiliwa na muda, kutokuwepo chini ya vizuizi,

mawazo ya Muumba hayazuiliwi na nafasi.

Matamshi Yake yote, kila wazo Analowaza,

kila ufunuo wa mamlaka Yake, kazi bora kwa vitu vyote.

Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.

Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp