“Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima” – Kurudi kwa Bwana Katika Siku za Mwisho Kunaleta Njia ya Uzima wa Milele | Swahili Gospel Movie Clip 5/9

“Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima” – Kurudi kwa Bwana Katika Siku za Mwisho Kunaleta Njia ya Uzima wa Milele | Swahili Gospel Movie Clip 5/9

956 |07/08/2018

Tazama Kamili

Bwana Yesu alisema, "Lakini yeyote atakayekunywa maji yale nitakayompa hatahisi kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji yakibubujika katika uzima wa milele" (Yohana 4:14). Bwana Yesu ndiye chanzo cha maji hai ya uzima, Yeye ndiye njia ya uzima wa milele, lakini, kama ilivyoshudiwa na Umeme wa Mashariki, ni Kristo wa siku za mwisho pekee—Mwenyezi Mungu anaweza kuwapa watu njia ya uzima wa milele. Hivyo, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu wanatoka kwa chanzo kimoja? Je, kazi zao zinatekelezwa na Mungu mmoja? Kwa nini ni Kristo wa siku za mwisho pekee anayeweza kutupa njia ya uzima wa milele?

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi