Musical Documentary | Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng (Vipengele Muhimu)

19/10/2018

Wanadamu wamekuwa wakitafuta majibu haya kwa miaka elfu kadhaa: Miili ya mbingu katika ulimwengu inawezaje kwendelea mbele kwa taratibu timilifu kama hiyo? Kwa nini vitu vyote vilivyo hai daima husogea kwa miviringo inayofuata kanuni zisizobadilika? Kwa nini watu huzaliwa, na halafu kwa nini sisi hufa? Ni nani kweli aliyeamua kanuni na sheria hizi zote? Ni nani kweli huutawala ulimwengu na vitu vyote? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu", itakuongoza ufikie kiini cha maswali haya na kufunua mafumbo yote haya.

Credits: https://www.holyspiritspeaks.org/special-topic/copyright.html

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp