Dondoo ya Filamu ya Hali Halisi Kutoka “Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu”: Mungu Akitoa Sheria

11/10/2018

Baada ya Musa kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alitangaza sheria na amri, ambazo ziliyaongoza maisha ya Waisraeli duniani na kuwafundisha watu jinsi ya kumwabudu Mungu. Sheria hizi hazikuwaongoza tu Waisraeli, lakini ziliarifu na kutoa matarajio kwa kuundwa kwa katiba kwa vizazi vijavyo, kuweka msingi kwa mifumo ya kisheria ya wanadamu wa baadaye.

Credits: https://www.holyspiritspeaks.org/special-topic/copyright.html

Tazama zaidi

Ikiwa una matatizo au maswali yoyote katika imani yako, tafadhali wasiliana nasi wakati wowote.

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp