Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Ushuhuda kwa Kristo wa Siku za Mwisho

(Ukweli Ishirini wa Kuwa na Ushuhuda kwa Mungu)

Sehemu ya Tatu

Maswali na Majibu juu ya Ukweli

1Hukumu ni nini?
2Kwa nini inamlazimu Mungu kuwahukumu na kuwaadibu watu?
3Watu wanafaa kupitiaje hukumu na adabu ya Mungu ili kuokolewa?
4Inamaanisha nini kuomba kwa kweli?
5Mtu anawezaje kuanzisha uhusiano wa kawaida na Mungu?
6Mtu mwaminifu ni nani? Kwa nini Mungu huwapenda watu waaminifu?
7Mtu mdanganyifu ni nani? Kwa nini watu wadanganyifu hawawezi kuokolewa?
8Kuna tofauti ipi kati ya mtu mwaminifu na mtu mdanganyifu?
9Mtu anafaaje kutenda kuingia kuwa mtu mwaminifu?
10Mtu kutekeleza wajibu wake ni nini?
11Kuna tofauti ipi kati ya mtu kutekeleza wajibu wake na kutoa huduma?
12Ni nini maana ya “acha kila kitu nyuma na kumfuata Mungu”?
13Kuna tofauti ipi kati ya kuuelewa ukweli na kuyaelewa mafundisho?
14Kujihusisha katika sherehe ya kidini ni nini?
15Kwa nini makanisa yanaweza kupotoka na kuwa dini?
16Mpinga Kristo ni nini? Mpinga Kristo anaweza kutambuliwaje?
17Kristo wa uongo ni nini? Kristo wa uongo anaweza kutambuliwaje?
18Kiongozi wa uongo au mchungaji wa uongo ni nini? Je, kiongozi wa uongo au mchungaji wa uwongo anaweza kutambuliwaje?
19Unafiki ni nini?
20Asiyeamini ni nini?
21Kumfuata Mungu ni nini?
22Kumfuata mtu ni nini?
23Kuna tofauti ipi kati ya ngano na magugu?
24Kuna tofauti ipi kati ya mtumishi mwema na mtumishi muovu?
25Kazi ya Roho Mtakatifu ni nini? Kazi ya Roho Mtakatifu hudhihirishwaje?
26Mtu anawezaje kupata kazi ya Roho Mtakatifu?
27Kazi ya pepo wabaya ni nini? Kazi ya pepo wabaya hudhihirishwaje?
28Kuna tofauti zipi kati ya kazi ya Roho Mtakatifu na kazi ya pepo wabaya?
29Kupagawa ni nini? Kupagawa hudhihirishwaje?
30Kwa nini Mungu hawaokoi wale wanaofanyiwa kazi na pepo wabaya na wale waliopagawa?
31Wanawali wenye hekima ni nini? Wanawali wapumbavu ni nini?
32Ni thawabu ipi inayopewa wanawali wenye hekima? Wanawali wapumbavu wataanguka katika maafa?
33Unyakuo kabla ya maafa ni nini? Ni nini mshindi anayekamilishwa kabla ya maafa?
34Kila mtu asiyemkubali Mwenyezi Mungu kwa kweli ataanguka katika maafa?
35Kwa nini Mungu atawaweka wale wanaokataa kumkubali Mwenyezi Mungu katika maafa?
36Ni watu wangapi wa dini watakaorudi kwa Mungu katika maafa?
37Mabadiliko ya tabia ni nini?
38Mabadiliko ya tabia hudhihirishwaje?
39Kuna tofauti zipi kati ya mabadiliko ya tabia na tabia nzuri?
40Matendo mema ni nini? Maonyesho ya matendo mema ni yapi?
41Matendo maovu ni yapi? Maonyesho ya matendo maovu ni yapi?
42Mungu huwaokoa watu gani? Yeye huwaondosha watu gani?
43Mungu hutegemeza nini uamuzi Wake wa mwisho wa mtu?
44Watu wa Mungu ni nini? Watendaji huduma ni nini?
45Ahadi za Mungu kwa wale ambao wameokolewa na kukamilishwa ni zipi?