from Follow the Lamb and Sing New Songs

published on

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri I Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri. Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia? Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza. Wewe Ndiwe unayeniwaza daima, Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu. Mwezi, nyuma ya upande wa pili wa anga. Usimfanye mpendwa wangu asubiri muda mrefu sana. Tafadhali mwambie Yeye ninamkosa sana. Usisahau kuubeba pamoja nawe upendo wangu, pamoja nawe upendo wangu. II Bata bukini pori katika jozi, wapuruka mbali sana. Je, watarudi na neno kutoka kwa mpendwa wangu? O tafadhali, tafadhali niazime mbawa yako. Naweza kupuruka kurudi kwa mji wangu vuguvugu. Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni! Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure. Jinsi ninavyopenda ninaweza kuwa mzima karibuni, kuwa huru kutoka maisha machungu, ya kutangatanga. O mpendwa wangu, tafadhali nisubiri. Nitaruka mbali na anasa za dunia hii. Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni! Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure. kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

  • Inapakia...
ShirikiFacebook
ShirikiTwitter
ShirikiGoogle+
ShirikiPinterest
ShirikiReddit